Acts 10:34-35

34 aNdipo Petro akafungua kinywa chake akasema, “Mungu hana upendeleo, 35 bLakini katika kila taifa, kila mtu amchaye na kutenda yaliyo haki hukubaliwa naye.
Copyright information for SwhKC